Slide1.jpg

Ukusanyaji na utafiti wa sampuli ni muhimu kwa uelewa wa historia ya asili yaulimwengu.

Kila specimen ni ya kipekee na tofauti kabisa na specimen nyingine yoyote.

hivyo,

1) Kila sampuli lazima itambulike

2) Habari kuhusu specimen hiyo lazima zipatikane kwa urahisi.

Ilikufanikisha masuala hayo mawili  muhimu ya  historia yaelimu ya sampuli za viumbe asili, uangalifu  unatakiwa kuandika maelezo yanayohusu sampuli hiyo na kuhakikisha lebo imewekwa kwa usahihi katika hatua ya ukusanyaji.