![]() |
|||||||||||||||
![]() |
|||||||||||||||
|
Tovuti hii ina data nyingi pamoja na vipimo na data za kila kielelezo kilizchofanyiwa utafiti kwenye milima ya Tanzania. Aidha, tovuti hii inazo taarifa za awali za utafiti zilizonakiliwa kielekroniki, vifaa vya elimu vinavyolenga mamalia wa Tanzania, machapisho ya jumla na ya kisayansi juu ya wanyama hawa wa pekee na tovuti zingine za rejea juu ya mamalia wa Tanzania. Tovuti za rejea
Unaweza kupata taarifa za ziada kuhusu mamalia wa Tanzania kwa kuangalia tovuti hii yenye taarifa nyingi. Bonyeza hapa. >> |
||||||||||||||


